Revelation of John 12:14

14 aLakini huyo mwanamke akapewa mabawa mawili ya tai mkubwa, kusudi aweze kuruka mpaka mahali palipotayarishwa kwa ajili yake huko jangwani, ambako atatunzwa kwa wakati na nyakati na nusu,
Maana yake ni miaka mitatu na nusu.
ya wakati ambako yule joka hawezi kufika.
Copyright information for SwhNEN